Jul 22, 2014

POLISI YATOA MAELEZO KUHUSIANA NA VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYO KUTWA BUNJU Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limesema limebaini kuwa shehena ya viungo vya binadamu vilivyokutwa katika eneo la Bunju imetoka katika hospital ya IMTU na kwamba watu 2 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA