Aug 22, 2014

Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim H. Lipumba ameshiriki katika mazishi ya Mzee Mustaph Khalfan MBURAHATI

Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim H. Lipumba ameshiriki katika mazishi ya Mzee Mustaph Khalfan babayake Ashura Mustaph Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF Chama Cha Wananchi leo katika makaburi ya Mburahati, Mungu amlaze maala pema peponi Inshallah.


Pro  LIPUMBA AKISHIRIKI MAZISHI
 

MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA