Sep 6, 2014

BREKING NEWS: MSAFARA WA MAALIM WAPATA AJALI WILAYA YA MISUNGWI

Katibu wa Cuf Wilaya ya Nyamagana Mh Rehema Mwenda na Mkuu wa Kitengo cha Habari Wilaya Mh Shido ambae pia ni Mwenyekiti wa Mtaa Utemini Kata ya Mirongo wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Rufaa Bugando.

 
Katibu wa Cuf Wilaya ya Nyamagana Mh Rehema Mwenda akiwa katika hali mbaya


  Mkuu wa Kitengo cha Habari Wilaya Mh Shido 


Tunapenda kuwapa pole majeruhi wote.
Tunawaombea kwa Mungu waweze pona mapema ili waendelehe na majukumu yao ya kazi

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA