Jan 12, 2015

CUF WAFANYA USAFI KATIKA MAJUMBA WANAYOISHI WAZEE ZANZIBAR (Wazee Sebleni)

 WANACHAMA WA CUF KUPITIA JUMUIYA YA VIJANA ZANZIBAR WAKIFANYA USAFI KATIKA MAJUMBA YA WAZEE YA SEBULENI HII IKIWA NI KATIKA MUENDELEZO WA KUFANYA USAFI KATIKA MAJUMBA YA UMMA BAADA KUFANYA USAFI KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA WIKI ILIYOPITA.
 MJUMBE WA JUMUIYA YA VIJANA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI


 KAZI IKIENDELEA
 PAMOJA NA KUFANYA USAFI PIA WALITOA MSAADA KWA WAZEE HAO
 MWAKILISHI WA WAZEE AKITOA SHUKRANI KWA NIABA YA WENGINE
 DUA YA PAMOJA ILISOMWA PIA
 AKINA MAMA NAO HAWAKUWA NYUMA


Ni sehemu katika majengo ya nyumba za Wazee Sebleni, Jitihada kunbwa zinahitajika ili kutunza mazingira na maisha ya wazee wetu hawa


BAADA YA KAZI DUA YA KUOMBEANA HERI ILISOMWA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA