Jana timu ya Simba ilizidi kuonesha ubabe wake dhidi ya timu za kaskazini baada ya kuibuka na Al ahly Shinde fc goli 3-0 hata napo timu ya Al Ahly shinde itabidi ijilamu yenyewe kwa kitendo chao cha kupoteza muda mwingi kwa kujiangusha na hata kipindi cha mipira ya kurusha hali iliyopekea timu ya simba kuibuka kidedea
mashabiki wa simba wakiwa wamedhidiwa na furaha baada ya timu yao kuibuka kidedea Muuaji wa simba akishangilia jana ni Emanuel Okwi
HII ndio simba bana hakuna kulemba nguvu moja
MASHABIKI NAO WAKIWA NA FURAHA KUBWA BAADA YA TIMU YAO KUFANYA KAZI NZURI UWANJANI
BONDE FC NI MABINGWA WAPYA WA BEIRA YOUTH CUP 2012
-
Timu ya Bonde fc jana iliibuka kuwa mabingwa wapya wa BEIRA YOUTH CUP
2012 ubingwa huo umepatikana baada ya kuibuka na ushindi wa gili 5-4 dhidi
ya New B...
WATUMISHI REA WAPONGEZWA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamepongezwa kwa kujituma na
kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo
ikiwa...
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA