KIKOSI CHA AZAM FC
Azam FC ipo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam ikisafiri kwa ndege ya Emirates kuelekea Rabat kupitia Dubai, timu nzima inasafiri na Viongozi wote isipokuwa Ibrahim Shikanda anayeelekea masomoni nairobi na Samih Nuhu eliye majeruhi
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA