HUU NDIO MKOKO AMBAO MCHEKESHAJI BASKETMOUTH KAMPA ZAWADI YA SIKU YA KUZALIWA MKE
Mchekeshaji, ambaye pia mmoja wa watumbuizaji inchini Nigeria BASKETMOUTH , kamnunulia mke wake Honda Crosstour ya 2013 kama zawadi yake ya siku ya kuzaliwa. Elsie Uzoma Okpocha aliezaliwa Julai 14.
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA