ILA UKITAKA TIKETI HIZO UTAZIPATA KWA MADALALI KAMA KAWAIDA YA 5000 KWA 7000 NA 7000 KWA 9000 HILI SASA NI TATIZO LA KUDUMU KATIKA SOKA HUSUSANI MECHI KATI YA SIMBA NA YANGA AU YANGA NA AZAM.
MARA NYINGI WATU WAMEKUWA WAKIKOSA NAFASI YA KUONA MPIRA KUTOKANA NA WAJANJA WACHACHE AMBAO HUNUNUA TIKETI ZOTE NA KUANZA KUUZA WAO NA BAADI YA WENYE DHAMANA YA KUUZA TIKETI KUWAPA NDUGU ZAO AU JAMAA ZAO KWA LENGO LA KUPATA FAIDA
PIA LEO USISHANGAE UNAINGIA MLANGONI TIKETI YAKO ISICHANWE NA UKAPEWA KIPANDE KINGINE KISHA TIKETI YAKO IKARUDI NJE NA KUUZWA TENA .
MAONI TFF IWEKE UTARATIBU WA TIKETI KUUZWA SIKU YA MECHI TENA KWA WAO KUKAA KWA NDANI NA WANUNUZI KWA NJEE KWANI UWANJA WA TAIFA UNAENEO AMBALO TIKETI ZINAWEZA KUUZWA NA WATU KINGIA UWANJANI BILA TABU HUKU TUKISUBILI TIKETI ZA MASHINE.

MASHABIKI WA YANGA
MASHABIKI WA SIMBA
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA