AZAM IMETAJA KIKOSI CHAKE CHA KWANZA KITAKACHO ANZA LEO
Timu
Bora Tanzania ya AZAM FC inaingia Dimbani tena leo kusaka pointi muhimu
kwenye Dimba la Uwanja wa C.C.M Ally Hassani Mwinyi kupambana na timu
ngeni na ngumu ya RHINO ambayo inamilikiwa na JWTZ. Kikosi
kinachoteremka dimbani leo ni;
1. MWADINI ALI MWADINI
2. ERASTO EDWARD NYONI
3. WAZIRI SALUM OMAR
4. JOCKINS OTIENO ATUDO
5. AGGREY MORIS AMBROSI
6. BOLOU WILFRED MICHAEL
7. JABIR AZIZ STIMA
8. SALUM ABUBAKAR SALUM
9. GAUDENCE EXAVERY MWAIKIMBA
10. KHAMIS MCHA KHAMIS
11. KIPRE HAERMANN TCHETCHE
Akiba
1. AISHI SALUM MANULA
2. MALIKA PHILIPO NDEULE
3. DAVID JOHN MWANTIKA
4. SAID HUSSEIN MORADI
5. HIMID MAO MKAMI
6. IBRAHIM JOEL MWAIPOPO
7. SEIF ABDALLAH KARIHE