Leo asubuhi kwa mara ya kwanza kocha wa timu ya taifa ya Uingereza kwa ajiri ya kujianda na mechi dhidi ya Norway itakayo chezwa siku ya jumamosi
Baada ya mazoezi hayo kocha mpya wa timu hiyo Roy Hodgson alifanya mkutano na waandishi wa habari na kueleza mipango yake kuelekea fainali za michuano ya mataifa ya Ulaya
John Ruddy, Robert Green and Joe Hart wakiwa katika mazoezi yao leo asubuhi katika uwanja wa Etihad Stadium
Gary Neville akiwa katika mazoezi leo asubuhi katika uwanja Etihad Stadium in Manchester
England coach Gary Neville in action with Theo Walcott during the England Training session in Manchester
Andy Carroll akiwa katika mazoezi na timu yake ya taifa leo asubuhi
Steven Gerrard na Jermain Defoe wakiwa katika mazoezi leo mjini Manchester
Roy Hodgson kocha wa England akiongea jambo na mchezaji wake Glen Johnson kipindi cha mazoezi yao leo
Makocha Roy Hodgson na Gary Neville wakiwa wanatazama mazoezi ya vijana wao
Rob Green and Joe Hart wakiwa mazoezini leo
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA