Eden Hazard amesema haonai hatari kutokana na kutakiwa kwake na klabu kubwa za Uingereza yaani Manchester United Man City na Chelsea
Eden Hazard mchezaji ambaye kila klabu kubwa Uingereza inasubili saini yake
Amesema anachoangalia yeye ni nafasi yake ya kucheza kwani kila mchezaji anapenda kuona anapata nafasi ya kucheza na sio ukubwa wa klabu .
Wakala wake John Bico amesema wamekuwa katika mazungumzo ya makubaliano kwa pande zote kwani vijana wengi wa Ubelgiji wanapenda kucheza soka la kimataifa
Eden Hazard watu wengi wanasubili maamuzi yakoe
Hata napo Eden Hazard atatoa maamuzi yake ni timu gani atachezea baada ya kumaliza mechi za kirafiki za timu yake ya taifa kwani Ubelgiji itacheza Montenegro nchini Brussels siku ya Ijumaa na kisha kwenda Uingereza Wembley June 2 baada ya hapo Eden Hazard atatangaza maamuzi yake
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA