Dec 27, 2013

DIAMOND AMPA POLE MTOTO ALIYEUMIA JANA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUMUONA


 Haya ndio maneno ya DIAMOND
   
 Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
 mdogo,aliyepata

 majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
 kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE

 
 MTOTO AKIKABIDHIWA MKWANJA
 
MTOTO AKIWA AMESHIKA MKWANJA BAADA YA KUKABIDHIWA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA