Timu ya Spain jana usiku ilidhihilisha kuwa wao ndio mabingwa wa soka wa dunia baada ya jana kuibuka mabingwa wa soka wa Ulaya baada ya kuifunga timu ya Itali kwa mabao 4-0.
Mfungaji wa goli la kwanza Silva
Iker Casillas akiwa amenyanyua juu kombe baada ya kukabidhiwa huku wachezaji wa Spain wakishangilia kwa nguvu.
Wachezaji wa Spain wakishangilia baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Itali
Mario Balotelli akiwa amini kilichotokea baada ya mpira kwisha
Cassanoakijaribu kuipenya ngome ya ngumu ya Spain
Fernando Torresnae hakuwa nyuma katika kuiadhibu Itali
Juan Mata alifunga ukurasa wa magoli kwa Spain hapo jana ni goli la 4
Spain wao walitumia mtindo wao wa (4-3-1-2) na iliwakilishwa na Casillas 7; Arbeloa 7, Pique 8, Ramos 8, Jordi Alba 8; Xavi 8, Busquets
7, Xabi Alonso 7; Fabregas 8 (Torres, 75, 7); Silva 8 (Pedro, 58, 7),
Iniesta 9 (Mata, 87, 6)
Itali wao walitumia mtindo wao wa (4-1-3-2) na iliwakilishwa na Buffon 7; Abate 6, Barzagli 6, Bonucci 5, Chiellini 4 (Balzaretti, 21,
7); Pirlo 7; Marchisio 6, Montolivo 6 (Motta, 56, 6), De Rossi 7;
Balotelli 5, Cassano 5 (Di Natale, 46, 6)
Referee: Pedro Proenca (Portugal)
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA