Sep 25, 2013

Breaking News

Breaking News : Watu 2 wamefariki dunia papo hapo eneo la Lugalo jeshini jijini DSM baada ya bajaj waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori.Inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa Bajaj kulipita gari lilikuwa mbele yake.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA