Sep 21, 2013

MAANDALIZI YA MKUTANO WA LEO JANGWANI YAZIDI KUPAMBA MOTO



 
HAWA NI AKINANA DADA WANACHAMA WA CUF WAKIWA NA FULANA ZILIZOANDIKWA HAPANA CHEZEA CUF



 



 


HAPA NI OFISU KUU YA CUF BUGURUNI


HAWA NI BAADHI YA WANACUF WALIOFIKA MIDA HII OFISI KUU YA CUF TAYARI KWA KUELEKEA JANGWANI KWENYE MKUTANO.
 
HAPA JANGWANI MCHANA HUU

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA