May 21, 2014

MTUNGI WA GESI WALIPUKA NA KUUA MTU MMOJA NA KUJERUHI WAWILI HUKO SENGEREMA




NYUMBA YA MUUZAJI WA GAS ILIVYOLOPULIWA. 
 
WANANCHI WAKISHUDIA TUKIO  

MTU MMOJA ALIEFAHAMIKA KWA JINA LA JAMES JONH MKAZI WA SENGEREMA KATA YA MWABARUHI AMBAE PIA NI DEREVA WA BODABODA APOTEZA MAISHA BAADA YA KULIPUKIWA NA MTUNGI WA GESI.


TUKIO HILI LIMETOKEA KATIKA ENEO LA ISUNGANG'HORLO KATA YA NYATUKALA MUDA WA SAA TANO ASUBUHI SIKU YA TAREHE 18/05/2014.


CHANZO CHA TUKIO HILO NI PALE BWANA JAMES ALIPOKWENDA KUNUNUA GESI KWA BWANA MMOJA ALIEFAHAMIKA KWA JINA LA FAYA MATHIAS BAADA YA KUFIKA ALIANZA KUHAMISHIWA GESI KUTOKA MTUNGI WA BWANA FAYA MATHIAS KWENDA KATIKA MTUNGI WA NDUGU JAMES JONH BAADA YA KUKAMILIKA UJAZAJI NDUGU JAMES ALICHUKUA MTUNGI WAKE AKISAIDIANA NA NDUGU FAYA KWENDA KUUFUNGA KATIKA PIKIPIKI YA NDUGU JAMES.


AKIWA ANAUFUNGA NDIPO ULIPOMLIPUKIA NA KUSABABISHA KIFO CHA NA KUMJERUHI NDUGU FAYA NA MTOTO WAKE EVA ALIEKUWA NDANI YA NYUMBA AMBAYO NAYO IMEHARIBIWA VIBAYA NA KITU CHA KUHUZUNISHA NIKWAMBA MWILI WA BWANA JAMES ULISAMBAZWA VIBAYA SANA KITU KILICHOPELEKEA WANANCHI KUANZA KUVIKUSANYA VIUNGO VYAKE SEHEMU TOFAUTI KITU KILICHOPELEKEA SISI TUSIZIWEKE BAADHI YA PICHA ZA VIUNGO VYAKE IKIWEMO SEHEMU YA SIRI.


NDUGU FAYA MATHIAS ALIKIMBIZWA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA HAPA SENGEREMA AKIWA NA HALI MBAYA SANA LAKINI AKIWA HAJITAMBUI.


KUNA JAMBO BAYA SANA AMBALO BWANA FAYA JONH AMBAE NDIE MUUZAJI WA GESI MEKUWA AKIFANYA KWA MALA ZOTE NA WATU KUMFUATA WAKIJUA KUWA YEYE NDIE ANAEUZA GESI KWA BEI NAFUU SANA.
 
TUTAWAPA TAARIFA NINI HUWA AKIKIFANYA NA HUENDA NDIO IKAWA CHANZO CHA TATIZO.
 
chanzo na http://www.faharinews.blogspot.com

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA