Mar 2, 2012

AFANDE SELLE KUIBUKIA KWENYE MAPOKEZI YA MH: PROFESA LIPUMBA

 PICHA JUU AFANDE SELE AKIBURUDISHA MASHABIKI WAKE KATIKA MOJA YA MATAMASHA  TAREHE 11 /03/2012 ATAKUWEPO KWENYE MAPOKEZI YALIYOANDALIWA NA CHAMA CHA WANANCHI DHIDI YA MWENYEKITI WA CHAMA HICHO PROFESA IBRAHIMU LIPUMBA HIVYO MNAWEZA KUJA KUSHUHUDI KARATA DUME RIMIX JINSI AFANDE ANAVYOMSIFIA LIPUMBA NA KUMUITA KUWA KARATA DUME KATIKA TAIFA HILI.  PIA SIKU HIYO KUTAKUWA NA WASANII WANGINE KIBAO NA MAPOKEZI YATAKUWA LIVE KUPITIA STAR TV
AFANDE SELE

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA