JOSE MOURINHO amemwambia Roman Abramovich kuwa ataendelea kubaki Real Madrid na kuwa hawezi kurudi Stamford Bridge.
Lakini CHELSEA inafanya mawasiliano na kocha anaeachia ngazi katika timu ya BARCELONA Pep Guardiola kama wanaweza kumpata
Moulinho akiwa na Pep Guardiola
Abramovich’s
chaguo lake la kwanza ni Pep Guardiola 41-year-old ambe ameishi kwa
miaka 4 Now Camp anategemea kumpata kipindi hiki cha msimu wa majira ya
joto.japo kuwa Abramovich alikuwa akitegemea kumchua Jose Mourinho ila
matumaini yalipotea baada ya Mourinho kusema ataendelea kubaki SPAIN kwa
msimu mwingine
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA