Hata mama Salim nae alikuwepo huyu ni mke wa bwana ISSA JOSEPH kocha mkuu wa Bonde fc ya mwananyama
Hawa ni kinadada wa DUCE wakiwa na baba mtoto Shabani muda mfupi baada ya kuwasili mjini Bagamoyo
Maustadh wakiendelea na kaswida kama kawaida yetu waislam
Hakina mama nao hawakuwa nyuma katika kuzisakata dufu
Shakeel na baba yake hapo
Shangazi mtu nao hawakuwa mbali siku hiyo
Shakeel na mama yake hapo kabla ya kutoka rasmi
Shakeel na bibi yake kwa raha zao
Shakeel na shangazi yake Ramla
Dada yake nae hakukaa mbali na mdogo wake
Mama yake mkubwa nae hakuwa mbali na Shakeel
Hatimae wakati uliokuwa ukisubiliwa wa mtoto kutoka mjomba mtu hakuwa nyuma
Mama Shakeel akiwa na wifi yake Somoe kutoka AM stationary chan'ombe (DUCE)
Shakeel na shangazi yake Somoe
Mama na baba na shangazi Shakeel
Hatimae muda wa maakuli uliwadia na watu wakaanza kupata msosiwatu wakiendelea kupata msosi
hata watoto wa chuo nao walipata msosi
Mimi na ustadh Abdallah tukimuangalia mtoto baada ya kutoka
MTU NA SHEMEJI YAKE TULIPIGA PICHA YA PAMOJA
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA