
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisihapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa machozi
chanzo na http://www.itv.co.tz/news/local/386-2976/Polisi_Mwanza_yamshikilia_MhWenje.html
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA