May 24, 2012

TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA YAANZA MAZOEZI KUJIANDA NA MECHI YA KIRAFI DHIDI YA NORWAY

Leo asubuhi kwa mara ya kwanza kocha wa timu ya taifa ya Uingereza kwa ajiri ya kujianda na mechi dhidi ya Norway itakayo chezwa siku ya jumamosi 

Baada ya mazoezi hayo kocha mpya wa timu hiyo Roy Hodgson alifanya mkutano na waandishi wa habari na kueleza mipango yake kuelekea fainali za michuano ya mataifa ya Ulaya 

John Ruddy, Robert Green and Joe Hart during the training session at the Etihad Stadium 
  John Ruddy, Robert Green and Joe Hart wakiwa katika mazoezi yao leo asubuhi katika uwanja wa Etihad Stadium
 Gary Neville in action during the England Training session on May 24, 2012 at the Etihad Stadium in Manchester
Gary Neville akiwa katika mazoezi leo asubuhi katika uwanja Etihad Stadium in Manchester

 England coach Gary Neville in action with Theo Walcott during the England Training session in Manchester   
England coach Gary Neville in action with Theo Walcott during the England Training session in Manchester

Andy Carroll during an England training session at Etihad Stadium in Manchester 
 Andy Carroll akiwa katika mazoezi na timu yake ya taifa leo asubuhi

Steven Gerrard and Jermain Defoe during an England training session at Etihad Stadium in Manchester  
 Steven Gerrard na Jermain Defoe wakiwa katika mazoezi leo mjini Manchester

Roy Hodgson speaks to Glen Johnson during the England Training session at the Etihad Stadium 
 Roy Hodgson kocha wa England akiongea jambo na mchezaji wake Glen Johnson kipindi cha mazoezi yao leo

 
Makocha Roy Hodgson na Gary Neville wakiwa wanatazama mazoezi ya vijana wao

 
 Rob Green and Joe Hart wakiwa mazoezini leo 
Roy Hodgson during an England training session at Etihad Stadium 
  Roy Hodgson akiwa ametulia anafuatilia mazoezi ya vijana wake katika uwanja wa Etihad mjini Manchester

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA