Sep 4, 2013

PARTY ZONE YA AY FEAT MARCO CHALI YAIWAKALISHA TANZANIA TUNZO ZA CHANNEL O

JANA KITUO CHA CHANNEL O CHA NNCHINI AFRIKA KUSINI KILITANGAZA MAKUNDI  YATAKAYOKUWA YAKIGOMBEWA HUKU TANZANIA IKIWAKILISHWA NA VIDEO YA PARTY ZONE YA AY FEAT MARCO CHALI IKIWAKILISHA KATIKA KIPENGERE CHA VIDEO BORA YA AFRIKA MASHARIKI .

UNAWEZA MPIGIA KURA AY KWA KUTUMA UJUME AU MOJA KWA MOJA KATIKA MTANDAO WA CHANNEL O

HII NDIO VIDE YENYEWE