Oct 12, 2013

Dj Majay azindua upigaji muziki akiwa na mpiga drums

Usiku wa Kuamkia leo Xtreme Deejay wamezindua upigaji mpya wa muziki kwenye Club ambapo Dj Majay alikuwa akipiga muziki huku akishirikiana na mpiga Drums ndani ya New Maisha Club jijini Dar es Salaam.

  

 

Hii ndio stairi  mpya ya upigaji mzimki ya dj majay 

chanzo na times fc

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA