Jan 29, 2014

BREAKING NEWSSSS:::JENGO REFU KARIBU NA SUPERMARKET YA SHOPRITE KARIAKOO LINAWAKA MOTOOOOO MDA HUUULive muda huu, Kuna jengo kubwa linaungua sasa hivi Eneo la Kamata.. hii ni moja ya picha inayoonesha moto huo na imepigwa muda huu.

Endelea kufuatilia hapa kwa Taarifa zaidiPicha na Dar es salaam yetu Blog

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA