Jan 9, 2014

HIVI NDIVYO BASI LA MTEI LILIVYO KUWA LINAWAKA KWA MOTO HUU MKUBWA BAADA YA KUCHOMWA MKOANI SINGIDA

Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.

 

 

 0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA