May 23, 2012

Manchester United wamtaka Leighton Baines wa Everton

Timu ya Manchester United inafanya mazungumzo na mchezaji wa Everton Leighton Baines ili aweze kusaini katika klabu hiyo katika kipindi hiki cha usajili Klabu ya manchester imetenga kiasi cha paund millioni 12 ili kuweza kumpata mchezaji huyo.hata napo Everton wao wanataka millioni 15 paund ili waweze kumuachia   Baines yeye anasibili kwanza michuano ya ulaya imalizike ndio aseme kama atakubali au laah

Leighton Baines: on his way to Old Trafford?     Leighton Baines yuko njiani  kutua Manchester United

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA