THANKS GIVING:NILIVYOSHARE CHAKULA CHA PAMOJA NA WATOTO WA KITUO CHA AL-MADINA-TANDALE
Jana nilipata fursa nyingine ya kushare chakula cha
mchana na
ndugu zangu, Wadogo zangu walio
katika kituo cha Al_Madina kilichopo Tandale yemen...
kesho Jumanne ntakuwa kigogo
katika kituo cha #NewLife kilichopo kigogo je unataka
kuungana nami??? wasiliana na namba
hii +255654019091 #PamojaWeCan #ThanksGiving
Muda wa msosi
Msosi ukiendelea kugaiwa
Muda muafaka huu hapa
Utani kidogo
zawadi zingine alizowapelekea
kufurahi kidogo kama kama unavyojua ukiwa na watoto
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA