May 25, 2012

Eden Hazard hakuna hatari kutakiwa na timu zaidi ya moja


Eden Hazard amesema haonai hatari kutokana na kutakiwa kwake na klabu kubwa za Uingereza yaani Manchester United Man City na Chelsea 
 Eden Hazard: hurry up and sign for someone, will you? 
Eden Hazard mchezaji ambaye kila klabu kubwa Uingereza inasubili saini yake

Amesema anachoangalia yeye ni nafasi yake ya kucheza kwani kila mchezaji anapenda kuona anapata nafasi ya kucheza na sio ukubwa wa klabu .
Wakala wake John Bico amesema wamekuwa katika mazungumzo ya makubaliano kwa pande zote kwani vijana wengi wa Ubelgiji wanapenda kucheza soka la kimataifa
 
Eden Hazard in action for Lille 
Eden Hazard watu wengi wanasubili maamuzi yakoe

Hata napo Eden Hazard atatoa maamuzi yake ni timu gani atachezea baada ya kumaliza mechi za kirafiki za timu yake ya taifa  kwani Ubelgiji itacheza Montenegro nchini Brussels siku ya Ijumaa na kisha kwenda Uingereza Wembley June 2 baada ya hapo Eden Hazard atatangaza maamuzi yake

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA