May 30, 2012

HIKI NDIO KIKOSI CHA GREECE KITAKACHOPAMBANA KWENYE MICHUANO YA EURO 2012

Jana kocha wa Greece Fernando Santos aliwasilisha majina ya wachezaji 23 watakao hiwakilisha nchi hiyo katika michuano ya UEFA EURO 2012.

Huku akiwacha wachezaji wake wawili ambao ni  Alexandros Tziolis and Panagiotis Kone

Hata napo timu ya Greece itacheza mechi moja ya kirafiki nchini Austria May 31 kabla ya kuanza rasmi michuanao ya UEFA EURO 2012 


Na haya ndio majina ya wachezaji waliowasilishwa UEFA na Greece

Magolikipa 
Kostas Chalkias (PAOK FC), Michalis Sifakis (Aris Thessaloniki FC), Alexandros Tzorvas (US Città di Palermo).

Mabeki 
  Vassilis Torossidis (Olympiacos FC), Kyriakos Papadopoulos (FC Schalke 04), Sokratis Papastathopoulos (SV Werder Bremen), Avraam Papadopoulos (Olympiacos FC), José Holebas (Olympiacos FC), Giorgos Tzavellas (AS Monaco FC), Stelios Malezas (PAOK FC).

Viungo 
 Kostas Katsouranis (Panathinaikos FC), Giorgos Karagounis (Panathinaikos FC), Giannis Maniatis (Olympiacos FC), Giorgos Fotakis (PAOK FC), Grigoris Makos (AEK Athens FC), Giannis Fetfatzidis (Olympiacos FC), Sotiris Ninis (Panathinaikos FC), Kostas Fortounis (1. FC Kaiserslautern).

Washambuliaji
 Dimitris Salpingidis (PAOK FC), Giorgos Samaras (Celtic FC), Fanis Gekas (Samsunspor), Nikos Liberopoulos (AEK Athens FC), Kostas Mitroglou (Atromitos FC).

 Picha chini ni kiungo Kostas FortounisFortounis included in final Greece squad

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA