Feb 13, 2013

Coastal Union wataja kikosi kinachoanza leo

Kikosi kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa kaitaba Bukoba.

Shaaban Kado, Ismail Suma, Abdi Banda, Philip Mugenzi, Mbwana Kibacha, Jerry Santo, Joseph Mahundi, Razak khalfan, Danny Lyanga, Mohammed Sudi na Suleiman Kassim ‘Selembe’.

Sub ni Hamad Juma, Gabriel Barbosa, Ibrahim Twaha ‘Messi’, Castro Mumbala, Gerald Lukindo ‘Sipi’, na Khamis Shengo.
Dua zenu ni muhimu wadau.
chanzo page ya Coastal Union.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA