Apr 29, 2013

TAZAMA PICHA ZA VITUKO VYA FACEBOOK KWA WIKI HII

 KINYOZI AKIMALIZIA KAZI YAKE WAKATI TANESCO WAMECHUKUA UMEME WAO
 WATU WA MBAGARA HATA NDEGE WATASIMAMA HADI MLANGONI
 MTAANI KWAO WANAMUITA JOHN CENA
 KUVUA SIO LAZIMA BAHARI POPOTE PALIPO NA MAJI PANAFAA
 BIBI NAE ANAKWENDA PUNA UPEPO BEACH
 WATU WA MBAGARA MANZEZE TEGETA NA GOMZ HAWATUPI KITU KWENYE KUKU
 MASHABIKI WA LIVERPOOL WANAONA MCHEZAJI WAO KAONEWA
WASHABIKI WA YANGA WANAPO GEUKA WATANGAZAJI TAIFA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA