May 23, 2013

MAJAMBAZI YAVAMIA GARI NA KUPORA FEDHA JIJINI DAR

 
 Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi. 
Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.… 

Toyota Vitz lililovamiwa na majambazi.

Wananchi wakiwa eneo la tukio. 

Trafiki akielezea jambo baada ya tukio hilo. 
Baadhi ya wananchi waliokusanyika kushuhudia tukio hilo. 

 Majambazi yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer yamevamia gari ndogo aina ya Toyota Vitz yenye namba za usajili T 929 CCX na kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya Asia waliokuwa ndani yake na kuwapora furushi la fedha ambazo mpaka sasa bado haijafahamika ni kiasi gani. Tukio hilo limetokea eneo la Sayansi-Kijitonyama jijini Dar es Salaam. 

 (PICHA: RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA/GPL) 

www. http://www.globalpublishers.info/

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA