May 24, 2013

WAKALI HAWA WA HIP HOP KUFANYA MAKAMUZI YA HATARI DAR LIVE J'MOSI HII


Joh Makini.





 Fid Q.

 
Kala Jeremiah.

 
Stamina.
 
Nay wa Mitego.

Wasanii wanaotamba kwenye gemu la Hip Hop, Fid Q, Nay wa Mitego, Joh Makini, Kala Jeremiah na Stamina wataongoza safu ya burudani Jumamosi hii ndani ya Ukumbi wa Dar live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar katika Usiku wa Hip Hop (2013) na Fainali za Shindano la The Vodacom Mic King. Usikose!

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA