May 21, 2013

PROFESA JAY AJIUNGA RASMI NA CHADEMA



 Profesa J akiwa na Sugu muda mfupi baada ya kujiunga na CHADEMA

Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kujiunga rasmi kwa Profesa kwenye chama hicho kunaashiria kuwa huenda akawa na nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2015
 Prof Jay Sugu na Mnyika

 Jay akichukua kadi toka kwa Sugu