May 21, 2013

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha kuhusu Lema

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha
KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA ARUSHA MH.GODBLES LEMA
KUTUHUMUWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH.MAGESA MULONGO

NDUGU WANA HABARI mtakumbuka kwamba katika kipindi cha mwishoni mwa mwezi APRILI 2013 vyombo vingi vya habari vikiwemo radio magazeti namitandao ya kijamii vili andika na kutangaza habari iliyoelezea shutuma zilizo tolewana mbunge wa Arusha mh.GODBLES LEMA kuwa ali andikiwa ujumbe wa vitisho kwa njia ya simu na mkuu wa mkoa wa Arusha mh.MAGESA MULONGO uliosomea UMERUKA KIHUNZI CHA KWANZA NITA KUONESHA MIMI NI SERIKALI ULIKO JIFICHA NITA KUPATA NA NITA KUPA KESI NINAYO ITAKA MIMI ujumbe huo ulidaiwa kutumwa kutoka no.0752 960276 inayo tumiwa na muheshimiwa mkuu wa mkoa kwenda kwenye no.0764 150747 inayo tumiwa na mh mbunge kufatia tuhuma izo jeshi la polisi lili anza kufanya uchunguzi kwa kuzingatia kua mh.mkuu wa mkoa alikanusha kutuma ujumbe wa aina yoyote kwa mh.LEMA uchunguzi huo uli husisha kampuni ya cm ambayo mtandao wake ulitumika ktk utumaji wa ujumbe husika uchunguzi wa awali wa jesh la polisi umebaini kua chanzo cha ujumbe huo mfupi haikua kampuni ya cm husika kwa vile central no. iliyo tumika kutuma ujumbe huo mfupi wa maneno ni 44780200332 ambayo siyo ya mtandao husika bali ni ya mtandao wa nje ya nchi uchunguzi zaidi unaendelea kubainichanzo cha ujumbe huo mfupi wa cm na mtu alile usika kutuma ujumbe huo hatua za kisheria ziweze kuchukua mkondo wake asanteni kwa kuni sikiliza
 
imetolewa na kamanda wa polisi mkoa wa ARUSHA
kamishna msaidizi wa polisi
(ACP) LIBERATUS SABAS
TAREHE 21-05-2013