Jun 8, 2013

Coastal Union yawatambulisha ilio wasajiri

 Haruna Moshi 'Boooban akiwa na kocha mkuu wa Coastal Union, Hemed Morocco dakika chache baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja
 Boban  akisaini mkataba mbele ya kocha Morocco.
 Mlinzi wa kati wa JKT Oljoro, Marcus Ndeheli akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea Coastal Union.
 Kiungo mshambuliaji, Kenneth Masumbuko akisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Coastal Union.
 Juma Said Nyoso na  Steven Mnguto makamu mwenyekiti wa Coastal Union.
Juma said Nyoso akitia saini kuitumikia coastal union kwa mkataba wa mwaka mmoja.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA