Jun 8, 2013

TAIFA STARS INASHUKA LEO KUMENYANA NA MOROCCO

 WACHEZAJI WA STARS WAKISHANGILIA MOJA YA MAGOLI SIKU WALIPOIFUNGA MOROCCO HAPA NYUMBANI
Mchezaji wa stars akiwatoka mabeki wa Morocco.
Kikosi chaTaifaStars
Wachezaji waTaifa Stars wakishangilia
Kikosi cha timu yua taifa ya Morocco

LEO TIMU YETU YA TAIFA STARS INASHUKA KATIKA MECHI YAKE MUHIMU YA KUWANIA TIKETI YA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 

BLOG  YETU INAITAKIA MAFANIKO MEMA NA KILA LA KHELI KATIKA MCHEZO HUU WA LEO 

MUNGU IBARAKI TANZANIA.

MUNGU IBARIKI STARS.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA