Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia
mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko
wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii
pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
Mwandishi
wetu amefanikwa kuzinasa picha za Manaiki akiwa chini ya ulinzi
wa polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
Habari za uhakika zilizonaswa zinasema kuwa
msanii huyo alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu
zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YAhttp://peruzibongo.blogspot.com
KWA PICHA ZAIDI ZA MANAIKI AKIWA NA WAREMBO BOFYA HAPA
KUONA PICHA ZAIDI