Aug 23, 2013

Madama Ritha akanusha tetesi za kumpeleka Nay wa Mitego Mahakamani

 
Madama Ritha akanusha tetesi za kumpeleka Nay wa Mitego Mahakamani kuhusu Walter Chilambo##

Madam anasema# sio kweli kaenda Mahakamani, kwanza hajawahi kukutana wala hamfahamu huyu Ney wa Mitego na hawezi kwenda Mahakamani kwa kitu kidogo kama hicho ambacho hakina ukweli wala ushahidi.

Madame anasema mshindi Walter ambae alishinda Milioni 50 za Kitanzania mwaka uliopita alikanusha kwenye redio na kusema pesa zake zote alipewa na amefanya mambo mengi ya maana.
kwa hisani ya  Edwin Tanzania a.k.a 255