RAIS KIKWETE ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUGABE WA ZIMBABWE JIJINI HARARE
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa
Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais
Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Robert Gabriel Mugabe katika
uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za
kuapishwa Rais huyo Agosti 22, 2013.
Rais
Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakimpongeza Rais
Robert Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe,
katika sherehe za kuapishwa rais huyo Agosti 22, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wengine jukwaa kuu uwanja wa
Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais
Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013.
Marais
wastaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa na Alhaj Ali
Hassan Mwinyi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare,
Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti
22, 2013.
Rais
Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwasili katika
uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za
kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoka katika uwanja
wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, baada ya kuhudhuria sherehe za
kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013. Kulia ni Balozi
wa Tanzania nchini zimbabwe, Mhe Adadi Rajabu.PICHA NA IKULU