ANTHONIA OJO AKIELEKEA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA.
PASPORT YAKE.
SEHEMU YA KETE 99 ALIZOKAMATWA NAZO.
HILO NDO BEGI MADAWA HAYO YALIKUWEMO
AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO
HUYO NDO ANTHONIA OJO AKIWA KITUO CHA POLISI
MADAWA HAYO YAKIRUDISHWA KWENYE VYOMBO BAADA YA KUONESHWA KWA WANAHABARI.
RECORD ZA ANTHONIA ALIWAHI KUJA TENA MWAKA 2011
Anthonia
Ojo (25) Raia wa Nigeria akiwa na kete 99 za madawa ya
kulevya baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana, akieleke Roma Italia kupitia Paris
Ufaransa
kwa ndege ya Ethiopian Airways.
Msichana huyo aliingia hapa nchini
Agosti 30
akitokea Nigeria. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege,
Renatus Chalya, Ojo anaendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa
uchunguzi zaidi, wakati
madawa hayo yamepelekwa kwa ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini
aina ya dawa hizo, thamani yake na hatimaye
atafikisha mahakamani.KWA HISANI YA http://jumamtanda.blogspot.com