Sep 24, 2013

WANAJESHI WA KENYA WAKIWA KAZINI


AKIWEKA MASHINE TAYARI KWA MAPAMBANO
 
KIFARU KIKISOGEA KARIBU NA ENEO LA TUKIO

AKIWA MAKINI KUFUATILIA KWA MAKINI
 
WAKIMADILISHANA MAWAZO KUTOKANA NA UGUMU WA KAZI

ULINZI UKIWA UMEIMARISHWA
 
MAWASILIANO YAKIENDELEA SAMBAMBA NA KAZI

NAZO ZILIKUWA ZIKIRANDA RANDA KATIKA KUIMALISHA ULINZI
 
HAWA JAMAA WAMEKUJA KUTUNYIMA USINGIZI TU KAMA  WANASEMA VILE

HALI ILIVYO KATIKA PACKING YA ENEO HILO
 
ULINZI BADO NI WA UHAKIKA MPKA MUDA HUU

MAPAMBANO USIKU NA MCHANA 

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA