Oct 22, 2013

IKIWA LEO NDIO SIKU YAKE YA KUZALIWA CHAMA CHA WANANCHI CUF WAMFANYIA SAPRAIZ YA NGUVU MAALIM SEIF

HEPI BETHDEI HON. MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD, 70 yrs is a long way, Mungu akubariki na akupe umri wa 100 na zaidi.

Nawashukuru watendaji wote wa CHAMA cha Wananchi CUF Ofisi Kuu ya DSM kwa maandalizi ya "SAPRAIZ" hii kwa Katibu Mkuu.

Hii imetokea dkk chache zilizopita mara baada ya Kikao Cha Kamati ya Utendaji ya Taifa kumalizika rasmi jijini DSM leo.
  
MAALIM NA KAMBAYA 
 
DUA KWANZA
  
 
MAALIM NA MTATIRO
 
 
MUDA WA KEKI
 
MAALIM AKIKATA KEKI
 
 


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA