Nov 27, 2013

NGOMA MPYA: BELLE 9 - WANITAKAWanitaka ndio ujio wa ngoma mpya kutoka kwa msanii Belle 9 ambapo ngoma yake ya mwisho kuachia ilikuwa ni Listen ambayo video yake ilifanywa na Director Nisher. Isikilize ngoma hii hapa chini..  
na http://www.annapita.com


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA