Hali si nzuri sana jijini Mwanza kutokana na mgomo wa wafanyabiashara wa jiji la mwanza ulionza leo asubuhi....
Kwa
mujibu wa paparazi wetu aliyeko jijini Mwanza muda huu, maduka
yote yamefungwa na wafanyabiashara hao wako barabarani muda huu
na mabango yao wakielekea viwanja vya Tanganyika....
Chanzo cha mgomo huo kinadaiwa kuwa ni mashine za TRA ambazo zimekuwa zikipingwa kila kona ya nchi..
MADUKA YAKIWA YAMEFUNGWA
WAFANYA BIASHARA WAKIWA WAMEKUSANYIKA VIKUNDI VIKUNDI
WAFANYA BIASHARA WAKIWA WAMEKUSANYIKA VIKUNDI VIKUNDI
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA