Dec 12, 2013

BREAKING NEWS: Basi la Burudani lapata ajari likiwa njiani kuelekea DSM kutoka Korogwe

 Zaidi ya watu 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA