Dec 23, 2013

HAKUNA KAMA DIAMOND AAMUA KUWATEMBELEA WATOTO YATIMA NA KULA NAO CHAKULA PAMOJA

THANKS GIVING:NILIVYOSHARE CHAKULA CHA PAMOJA NA WATOTO WA KITUO CHA AL-MADINA-TANDALE

  

Jana nilipata fursa nyingine ya kushare chakula cha
 mchana na ndugu zangu, Wadogo zangu walio
 katika kituo cha Al_Madina kilichopo  Tandale yemen... 
 
kesho Jumanne ntakuwa kigogo 
katika kituo cha #NewLife kilichopo kigogo je unataka 
kuungana nami??? wasiliana na namba 
hii +255654019091 #PamojaWeCan #ThanksGiving 

 

 
Muda wa msosi
 
Msosi ukiendelea kugaiwa
 
Muda muafaka huu hapa 
 
Utani kidogo
 
 zawadi zingine alizowapelekea
 
kufurahi kidogo kama kama unavyojua ukiwa na watoto 

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA