Dec 10, 2013

Huyu ndio kijana alienogesha show ya Diamond pale TTC

 
ilikuwa ni juzi kwenye show
 yangu TCC chang'ombe.ambapo sikuwa na mwanangu,Nay true boy
 so ilinibidi niombe mtu
 mmoja kati ya mamia ya mashabiki waliokuwepo..
 amwakilishe True boy kwenye music gani ndipo dogo akajitokeza
...na siku hiyo ndiyo 

nimekubali kweli vipaji 
vya kweli vinatoka huku kwetu uswahilini...the
 kid is so talented saana,mbali na kuimba mule mule kama nay,lakin
 pia alijua kucheza na mashabiki,kucheza na jukwaa, ni kama
 mzoefu wa majukwaa siku nyingi..
angalia mwenyewe 

  

 
Nikimsikiliza kwa makini huku nisiamini anachokifanya dogo 

 
 
 
 
Mwangalie vizuri dogo alikuwa akienda mule mule..........!!!! 

 
 
 

 
 
 
 
 
 Ukizungumzia kukalishwa....ha ha ha ha...!!!!! 

 
 mpaka wimbo unaisha kila mtu alikipenda
alichokishuhudia na kusuuzika na
 roho yake..i sarute you dogo

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA