SHAKEEL INVESTMENT
  • Home
  • VIDEO
  • SIKILIZA MUSIC HAPA
  • MAKALA MAALUM
  • CONTACT TO US

Dec 16, 2013

MAPYA MCHAGA TENA AAMUA KUPIGA KIBERITI NYUMBA YAKE BAADA YA KUBAINI MKE WAKE ANAMSALITI


Nyumba ya familia moja huko mtaa wa ugombolwa Kata ya Segerea ikiwa inateketea kwa moto usiku huu mara baada ya Baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mmoja na kuamua kuichoma moto nyumba hiyo sababu ya wivu wa mapenzi. 

 
 Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mkali 


Kwa moto huu hakuna kilichoweza kuokolewa mpaka sasa

 
Baadhi ya Wakazi wa Mtaa wa Ugombolwa, Kata ya Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Dar wakishuhudia nyumba hiyo ikiteketea kwa moto.
Segerea, Dar Es Salaam, Nyumba moja iliyopo Mtaa Ugombolwa Kata ya segerea Jijini Dar imeteketea kwa moto mara baada ya baba wa familia ya nyumba hiyo kuhisi kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine.

Hali hiyo imetokea usiku huu majira ya Saa tano Kasoro usiku katika Mtaa wa Ugombolwa, Kata ya Segerea, Wilaya ya Ilala Jijini Dar Es Salaam ambapo inasemekana baba wa familia hiyo alichukua uamuzi huo mara baada ya kusikia kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine nje na mara baada ya kutokuelewa kwao ndipo alipochukua uamuzi huo wa kuitia moto nyumba hiyo.

Mmoja wa shuhuda alisikika akisema kuwa "Hawa Wachaga wana matatizo sana Ebu Ona Sasa mwanaume Mzima Anateketeza Nyumba yake aliyoijenga kwa mamilioni ya Shilingi kisa Mkewe anatembea nje ya ndoa Sasa ona watoto wake wataishi wapi?..watu wengine ni wajinga sana Kama mwanamke anatembea nje ya ndoa si umpe talaka tu" alisikika akiongea Shuhuda huyo.

Mpaka Mtandao huu unaondoka eneo la tukio nyumba hiyo ilikuwa bado ikiteketea kwa moto na hakuna dalili zozote zile zilizokuwa zikichukuliwa kwaajili ya kupambana na moto huo huku ikiwa haijafahamika kama wakati nyumba hiyo ikitiwa kiberiti familia ya huyo baba ilikuwepo ndani ya nyumba au laah huku ikikadiriwa kuwa mali zote zilizomo ndani ya nyumba hiyo zimeteketea kwa moto kwani mpaka tunaondoka hakuna kikosi cha zimamoto kilichofik eneo la tukio wala majirani hawakuonyesha dalili zozote zile za kuuzima mot huo.

Mpaka tunaondoka eneo la tukio hakuna taarifa yoyote ile ya majeruhi wala watu kupoteza maisha katika ajali hiyo ya moto. 

CHANZO NA http://www.jamiiforums.com

imewekwa saa 3:19 PM
Email This BlogThis! Share to X Share to Facebook

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI

Total Pageviews

Blogger templates

Blogger news

  Dar Es Salaam Time

Popular Posts

  • Did Jay-Z wear a shirt in which The Devil was having sex with Jesus?
      young jezzy Rocking the same shirt….   The answer is capital “NO”… Few days back a photo of Jay z wearing A controversial shi...
  • HUU NDIO WARAKA WA MCHUNGAJI MTIKILA
    MAANGAMIZI YA KUTISHA YA WANANCHI WA BULIGI (Wanyarwanda wahusika na unyama dhidi ya Wasukuma) Hii ni Taarifa ya kuteketezwa za...
  • Kim Kardashian Shame Haters , Post-Pregnancy Bikini Body 6-Months After Childbirth.
        Kim Kardashian is having the last laugh as she flaunts her post-pregnancy bikini banging body on Miami beach just 6-months after gi...
  • wapendanao = Hammer Q & Salha (Mr & Mrs)
  • Video Mpya : Belle 9 – Burger Movie Selfie
                                                         
  • New AUDIO | PNC ft DULLYSYKES - Sina Mpango nawe | Download
     
  • SIKILIZA NA KUDOWNLOAD KIRUNGU YA MARLAW
  • KAMA HUJAWAHI KUONA WANAMITINDO WAJAWAZITO BASI CHECK HAPA
     BAADHI YA WANAMITINDO HAO     Uyo Okebie-Eichelberger is a Nigerian-born American maternity lingerie designer for  You! Linge...
  • NEYMAR ATUA RASMI BARCELONA
      NEYMAR AKIWASILI BACELONA NA HAPA AKIWAPUNGIA MKONA MASHABIKI AMBAO HAWAKO PICHANI MASHABIKI WAKIMSUBILI MCHEZAJI WAO MPYA NEYMAR N...
  • TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA YAANZA MAZOEZI KUJIANDA NA MECHI YA KIRAFI DHIDI YA NORWAY
    Leo asubuhi kwa mara ya kwanza kocha wa timu ya taifa ya Uingereza kwa ajiri ya kujianda na mechi dhidi ya Norway itakayo chezwa siku ya ju...

Search This Blog

Lastest Templates

Loading...

Blog Archive

Don't Forget To Join With Our Community
×
+Get this at Blogger Spice

Recent News

Labels

  • shabanishakel.blogspot.com (2)
  • www.shabanishakeel.blogspot.com (31)
post by Shakeel Investment email shakeelshabani@gmail.com . Powered by Blogger.

BLOGS WASHIRIKA

  • BONDE FOOTBALL CLUB
    BONDE FC NI MABINGWA WAPYA WA BEIRA YOUTH CUP 2012 - Timu ya Bonde fc jana iliibuka kuwa mabingwa wapya wa BEIRA YOUTH CUP 2012 ubingwa huo umepatikana baada ya kuibuka na ushindi wa gili 5-4 dhidi ya New B...
    13 years ago
  • BONGO YETU
    Video Mpya : Belle 9 – Burger Movie Selfie - [image: http://www.hassbabytz.com/wp-content/uploads/2015/12/Belle-9-Burger-Movie-Selfie.png]
    10 years ago
  • Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran
    -
  • JUMA MTANDA
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA ! - Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa jina la utani ka...
    7 years ago
  • Kandanda | The World of Football
    -
  • Maskani ya uchambuzi yakinifu
    卵管の詰まりを調べる不妊検査 - 不妊の原因を調べることが不妊治療の第一歩です。 この不妊検査には卵管通水・通気検査があります。 卵管が詰まって・・・
    9 years ago
  • MICHUZI
    Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi - Na MWANDISHI WETU Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
    2 hours ago
  • MUNIRA MADRASA
    ASKOFU: KANISA LINAPASWA KUJICHUNGUZA NA KUJIREKEBISHA KUTOKANA NA UOZO. - *Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Valentino Mokiwa. * Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Valentino Mokiwa amewaonya wakristu dhidi ya mambo ambay...
    9 years ago
  • Salma Msangi
    MBOWE AMTAKA MEYA WA JIJI LA ARUSHA KUONYESHA UTOFAUTI NA WAKATI CCM IKITAWALA - Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM. Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha De...
    9 years ago
  • Sammisago.com
    -
  • Shaffih Dauda in Sports.
    -
  • SPORTS IN BONGO
    NAFASI ZA MASOMO AL MAKTOUM COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY - Chuo cha Al-maktoum College Of Engineering and Technology (AMCET) kinatangaza nafasi za masomo ya cetificate na diploma kwa mwaka wa masomo wa 2013/14. Ch...
    12 years ago
  • SWAHILI ORIGINAL ™ | TANZANIA
    -
  • TheCHOICE
    HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ANAVYO PENDWA NNCHINI KENYA...MASHABIKI WA VILABU KENYA WATENGENEZA TAWI LA MAGUFULI - [image: https://4.bp.blogspot.com/-POin-ICpMzk/Vxycbod3M9I/AAAAAAAA-ow/5_NzoDtRh4owGE8mr3leX16dBvvT8cwOACLcB/s640/13043528_976655849080443_90653603117684311...
    9 years ago

CALENDAR

Calendar

Popular Posts

  • LEO NDIO LEO NI KATI YA SIMBA NA YANGA
    IKIWA YAMEBAKI MASAA MCHACHE TOKA SASA KARIBIA MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA KUCHEZWA TAYARI TIKETI ZA 5000 7000 NA 10000 ZIMEKWISH...
  • HII NDIO VIDEO YA SAOUT SOL ILIYOZUA GUMZO KUTOKANA NA UCHEZAJI WAKE WA KUHAMASISHA NGONO (NISHIKE)
  • PICHA : Chris Brown akifanya part baada ya kutoka jera
    He added weight in jail...good for him. After spending nearly four months in jail for violating his probation, Chris Brown was released ...

Followers