
Mwigizaji Shilole leo ameonesha picha ya nyumba yake mpya anayoijenga maeneo ya kimara kutokana na mafanikio ya muziki.
Katika picha hiyo Shilole aliandika “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu"
Mungu akujalie umalizie mjengo wako
Dar Es Salaam Time
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA